MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI (MUHAS) ULIOFANYIKA TAREHE 17/02/2026

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. 

Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.