MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO-04-10-2020

Wasaliwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wa mahojiano wanatakiwa kuzingatia tarehe, muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)