Waombaji kazi wa kada zilizotajwa kwenye tangazo hili mnajulishwa kuwa usaili wa mahojiano utafanyika kwenye ofisi za Sekretarieti ya Ajira (PSRS) Dar es salaam.