KATIBU WA SEKRETARIETI YA AJIRA ANAPENDA KUWATANGAZIA WAOMBAJI KAZI WOTE WALIOITWA KWENYE USAILI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE (MNMA) KUPITIA TANGAZO LA TAREHE 31 DESEMBA, 2020 KUWA TAREHE ZA USAILI ZIMEBADILIKA KUTOKANA NA UPATIKANAJI WA KUMBI ZA KUFANYIA USAILI HUO. HIVYO MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI HUO NA KUMBI NI KAMA ZILIVYOAINISHWA HAPA CHINI.
KADA YA PLANNING OFFICER II NA ICT PROGRAMMER
TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOWEZA KUJITOKEZA BAADA YA KUTOLEWA KWA TAARIFA HIYO.