Usaili wa mahojiano utafanyika katika Ofisi za Shirika la Reli Tanzania (TRC) Makao makuu Dar e s salaam badala ya Ofisi za Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma