MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI III - HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU ULIOFANYIKA TAREHE 25/05/2024

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao