USAILI WA WALIMU DARAJA LA IIIC - KISWAHILI KUFANYIKA TAREHE 30 JANUARI, 2025 BADALA YA TEREHE 28 JANUARI, 2025

Usaili wa Walimu Daraja la IIIC – Kiswahili uliopangwa kufanyika tarehe 28 Januari, 2025 katika Mikoa mbalimbali nchini, sasa utafanyika tarehe 30 Januari, 2025 kuanzia saa 1.00 Asubuhi.