Home

  • Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe. George Mkuchika (Mb), akizungumza na Vyombo vya Habari jijini Dodoma kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2019. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa.

Matokeo ya Usaili wa Mchujo uliofanyika tarehe 7/2/2019

Wasailiwa waliofaulu usaili (SELECTED) wanapaswa kuzingatia yafuatayo; Kila msailiwa anapaswa kuja ...

MAREKEBISHO YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA BAADHI YA KADA.

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi walioitwa kwenye ...

Sekretarieti ya Ajira yapongezwa kwa kuanzisha mifumo ya Ajira.

Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma imepongezwa kwa jitihada inazoendelea kufanya katika ...