Home

  • Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi akifafanua jambo wakati wa kikao cha wafanyakazi wote kilichiofanyika katika ukumbi wa Sekretatiri ya Ajira. Kushoto ni Bi Judith Usangira Kaimu Mkurugenzi wa Utumishi na Rasilimali Watu.

WATUMISHI WA SEKRETARIETI YA AJIRA WATAKIWA KUTAMBUA DHAMANA WALIYONAYO

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Xavier Daudi amewataka watumishi wa ...

TANGAZO LA WASAILIWA WA NAFASI YA KAZI YA UDEREVA NA ASSISTANT ACCOUNTANT

Sekretarieti ya Ajira inapenda kuwataarifu wasailiwa wote walioomba nafasi ya kazi ya Udereva kwa ...

WAOMBAJI WA FURSA ZA AJIRA SERIKALINI WATAKIWA KUWA NA KITAMBULISHO CHA TAIFA IFIKAPO MWISHONI MWA MWEZI JULAI 2019

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw Xavier Daudi amewataka waombaji wote ...

Sekretarieti ya Ajira inawataka wadau kutumia Maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma kupata huduma zaidi

Wadau wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametakiwa kutumia fursa iliyotolewa na ...

Matokeo ya usaili wa vitendo ICT Officer na Dereva ya TAA & TASAC

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili (Selected) wanatakiwa kufika kwa ajili ya usaili wa ...

Matokeo ya Usaili wa Mchujo wa TAA na TASAC uliofanyika tarehe 08.06.2019

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili (Selected) wanatakiwa kufika kwa kuzingatia, tarehe ...