MATOKEO YA USAILI WA VITENDO MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO (eGA) ULIOFANYIKA TAREHE 22/03/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.