MABADILIKO YA TAREHE NA ENEO LA USAILI WA VITENDO WA SHIRIKA LA UVUVI (TAFICO)

Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa Vitendo wa Shirika la Uvuvi (TAFICO) Mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe na mahali pa kufanyia usaili wa vitendo.