MATOKEO YA USAILI WA VITENDO TAASISI YA UONGOZI ULIOFANYIKA TAREHE 18/11/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. 

Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.