MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) ULIOFANYIKA TAREHE 20/03/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.