MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 25/01/2026

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. 

Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.