Mkurugenzi wa Jiji la Tanga anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili kuwa kuna mabadiliko ya tarehe za kufanya usaili.