MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 17/05/2025 PAMOJA NA MPANGILIO WA USAILI WA VITENDO WAKALA WA VIPIMO (WMA)

Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili.

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.

Ajira hizi ni za mkataba.