Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.