MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA III B SHULE YA MSINGI,ELIMU YA AWALI,URAIA, HISTORIA NA KISWAHILI ULIOFANYIKA TAREHE 29/01/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.