MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE (SUA) ULIOFANYIKA TAREHE 20/11/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. 

Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.