Wasailiwa wote wa kada ya Transcriber II Sign Language Interpreter mnataarifa kuwa kutakuwa na usaili wa vitendo utakaofanyika tarehe 05 Juni,2025 na usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 06 Juni,2025.