MATOKEO YA USAILI WA VITENDO CONSERVATION RANGER III-WILDLIFE MANAGEMENT-LAW ENFORCEMENT ULIOFANYIKA TAREHE 09/06/2026

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. 

Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.