MATOKEO YA USAILI WA VITENDO MPIGA CHAPA MSAIDIZI DARAJA II (ASSISTANT PRINTER II) ULIOFANYIKA TAREHE 05/08/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.