Vituo hivi vya usaili vimepangwa kikanda, hivyo wasailiwa wote wanatakiwa kuzingatia vituo vya usaili kulingana na mpangilio huu.
Vituo hivi ni kwa kada zinazofanya usaili tarehe 25 Aprili,2025 kama zilivyoorodheshwa.