MATOKEO YA USAILI WA VITENDO FOREIGN SERVICE OFFICERS ULIOFANYIKA TAREHE 04/08/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.