Matokeo ya usaili wa Mchujo-Tanzania Diary Board (TDB)

Posted on August 16, 2018 at 10:42 AM

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa mahojiano wanatakiwa kufika kwa kuzingatia ratiba kama ilivyooneshwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificate)

Read More

Matokeo ya usaili wa Mchujo-kada za TAFIRI & Tanzania Airport Authority (TAA)

Posted on August 16, 2018 at 10:34 AM

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa mahojiano wanatakiwa kufika kwa kuzingatia ratiba kama ilivyooneshwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificate)

Read More

Matokeo ya usaili wa Mchujo-Muhimbili National Hospital (MNH)

Posted on August 16, 2018 at 10:30 AM

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa mahojiano wanatakiwa kufika kwa kuzingatia ratiba kama ilivyooneshwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificate)

Read More

Matokeo ya usaili wa Mchujo-FETA

Posted on August 16, 2018 at 10:27 AM

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa mahojiano wanatakiwa kufika kwa kuzingatia ratiba kama ilivyooneshwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificate)

Read More

Matokeo ya usaili wa Mchujo-SIDO

Posted on August 16, 2018 at 10:20 AM

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa mahojiano wanatakiwa kufika kwa kuzingatia ratiba kama ilivyooneshwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili

MUHIMU: Kwa wasailiwa wa nafasi za Assistant Accountant na Assistant Internal Auditor, watafanya kwa awamu mbili tarehe 17-08-2018 na tarehe 23-08-2018. Hivyo wanapaswa kuangalia majina yao yapo kwenye tarehe ipi kama ilivyoainishwa kwenye matokeo yao, hapa chini.

Read More