Matokeo ya usaili wa Mchujo-BRELA 23-07-2019

Wasailiwa waliochaguliwa (Selected) kuendelea na usaili wa mahojiano wanatakiwa kufika kwa ajili ya usahili huo siku ya Tarehe 26-07-2019 saa moja kamili asubuhi katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira.

Aidha, Wasailiwa wa kada za Network Administrator na Systems Analyst wanatakiwa kufika CoICT-Kijitonyama, saa moja kamili asubuhi kwa ajili ya usaili wa vitendo (Practical Interview) utakaofanyika tarehe 25-07-2019.

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)

>> Download

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *