Uzinduzi wa Recruitment Portal – Dodoma

Katika uzinduzi wa Mfumo wa maombi ya kazi kwa njia ya kielektroniki (Recruitment Portal ), Mhe. Waziri Mkuchika amewataka Waajiri katika sekta za Umma nchini kuhakikisha wanatumia mfumo huo wa Sekretarieti ya Ajira kuendeshea mchakato wa Ajira ili kuiwezesha Serikali kuingiza watu wenye sifa za kuwa Watumishi wa Umma.

HOTUBA YA Waziri Dodoma 01 Juni, 2019 Sekretarieti ya AJIRA

HOTUBA YA Katibu SA DODOMA JUNI 2019

Attachments

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *