TAARIFA KWA WAOMBAJI WALIOFAULU USAILI WA TRC

Waombaji waliofaulu usaili wa TRC wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika ofisi za TRC zilizopo mtaa wa Nkuruma Kamata Mkabala na Transoma Hotel nyuma ya Zahanati ya Reli.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *