Matokeo ya usaili wa vitendo uliofanyika tarehe 08-04-2019

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa ana kwa ana (Oral Interview) wanatakiwa kufika kwa kuzingatia, tarehe muda na sehemu kama ilivyo ainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

MUHIMU: Wasailiwa wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi.

Click to Download

Attachments

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *