Matokeo ya usaili wa vitendo kwa kada za Assistant Wildlife Management Officer II na Wildlife Management Assistant II

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa ana kwa ana (Oral Interview) wanatakiwa kufika kwa kuzingatia, tarehe muda na sehemu kama ilivyo ainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

MUHIMU: Wasailiwa wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi.

Click to Download

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *