Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa vitendo (Practiacl Interview) kwa kada za;
ASSISTANT WILDLIFE MANAGEMENT OFFICER, WILDLIFE MANAGEMENT ASSISTANT, PLANT OPERATOR (HEAVY MACHINE) NA DRIVER II WANATAKIWA KUFIKA KATIKA OFISI ZA MAMLAKA YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO (NCAA) NJIRO–ARUSHA, SAA 12:00 ASUBUHI SIKU YA JUMATATU TAREHE 08-04-2019
Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa vitendo kwa kada ya ICT Officer II, usaili huo utafanyika Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) Saa Moja Kamili Asubuhi, Siku ya Jumatatu Tarehe 08-04-2019
Wasailiwa kwa kada nyingine zote zilizobaki, ratiba yao itabaki kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.