Download VETA, TSHTIDA, STAMICO, MoH, ORCI, MNMA & TFS

Wasailiwa ambao kada zao zina usaili wa Vitendo wanapaswa kuzingatia yafuatayo;

  1. Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kwa kada za Wizara ya Afya wanapaswa kuhudhuria usaili wa Vitendo Practical tarehe 12/2/2019 COICT-UDSM Sayansi Kijitonyama Dar es salaam

2. Kwa wasailiwa wa VETA ambao kada zao zina usaili wa Vitendo usaili wao utafanyika kwa kuzingatia tarehe ya Tangazo la kuitwa kwenye Usaili

Download VETA, TSHTIDA, STAMICO, MoH, ORCI, MNMA & TFS

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *