Matokeo ya Usaili wa Mchujo uliofanyika tarehe 7/2/2019

Wasailiwa waliofaulu usaili (SELECTED) wanapaswa kuzingatia yafuatayo;

  1. Kila msailiwa anapaswa kuja na vyeti vyake halisi vya Taaluma pamoja na cheti cha kuzaliwa
  2. Muda wa Usaili ni kuanzia saa moja kamili asubuhi
  3. Kila msailiwa azingatie sehemu aaliyopangiwa kufanya usaili kwa mujibu wa tangazo lenye majina ya kuitwa kwenye usaili.
  4. Mwisho tunawatakia maandalizi mema kwa ajili ya usaili huo.

Download Matokeo NIT, NCT & TIA

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *