MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA ZA TPA ULIOFANYIKA TAREHE 5 JAN, 2019

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) wanapaswa kuzingatia yafuatayo.

  1. Usaili wa Mahojiano ufatanyika katika Ofisi ya Sekretarieti ya Ajira Jengo la Utumishi House Kivukoni
  2. Muda wa usaili ni kuanzia saa moja kamili asubuhi
  3. Kila msailiwa anakumbushwa kuja na vyeti vyake halisi vya Taaluma pamoja na cheti cha Kuzaliwa

>DOWNLOAD MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO (TPA)

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *