MATOKEO YA USAILI TPA KADA YA DATABASE ADMINISTRATOR

Wasailiwa walichaguliwa (Selected) wanapaswa kuzingatia yafuatayo;

1. Usaili wa Vitendo (Practical) utafanyika kesho tarehe 12/1/2019 Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam  (CO-ICT) iliyoko Sayansi Kijitonyama

2. Muda wa Usaili ni saa moja kamili asubuhi wakiwa na vyeti vyao vya Taaluma na cheti cha kuzaliwa.

DOWNLOAD TPA DATA BASE ADMINISTRATOR

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *