MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO YA CHUO KIKUU MZUMBE (Tarehe 9 Jan, 2019)

Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) kwa ajili ya Usaili wa Mahojiano wanapaswa kuzingatia yafuatayo;

  1. Usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 10/01/2019 katika Ukumbi wa Lumumba Complex
  2. Muda wa Usaili ni saa moja kamili asubuhi
  3. Kila msailiwa anakumbushwa kuja na vyeti vyake vya Taaluma na Cheti cha kuzaliwa.

>Download Matokeo Mzumbe

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *