MATOKEO YA USAILI WA VITENDO (PRACTICAL)- TAMISEMI & HESLB

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kwa usaili wa mahojiano wanapaswa kuzingatia yafuatayo;

  1. Usaili wa Mahojiano utafanyika tarehe 7/1/2019 kama ilivyoainishwa kwenye Tangazo la kuitwa kwenye Usaili
  2. Muda wa Usaili ni kuanzia saa moja asubuhi
  3. Kila Msailiwa anapaswa kufika na vyeti vyake halisi vya Taaluma pamoja na Cheti cha Kuzaliwa.

Matokeo ya practical-TAMISEMI

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *