MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO (TAMISEMI, NECTA NA HESLB) ULIOFANYIKA TAREHE 29.12.2018

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) wanapaswa kuzingatia yafuatayo.

  1. Usaili wa Vitendo (Practical) utafanyika kulingana na tarehe na Mahali kwa kila kada kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili la tarehe 21.12.2018
  2. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na vyeti vyake halisi ya Taaluma na Cheti cha kuzaliwa wakati wa usaili wa Vitendo.
  3. Muda wa usaili ni saa moja kamili asubuhi.

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *