Tangazo la kubadilisha namba ya Simu ya huduma kwa wateja.

Sekretarieti ya Ajira inapenda kuwataarifu wadau wake kuwa imebadilisha namba ya Simu ya huduma kwa wateja. Hivyo kuanzia sasa namba inayotumika kwa ajili ya kutoa huduma za masuala ya uendeshaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma ni 0737 160 569. Kwa upande wa TEHAMA na ‘Recruitment Portal’ namba haijabadilika ambayo ni 0784 398 259.

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *