MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 27-10-2018

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kwa ajili ya usaili wa Mahojiano wanapaswa kuzingatia yafuatayo;

1. Usaili wa Mahojiano utafanyika tarehe 29-10-2018, saa moja kamili asubuhi, kwa kada za Mwalimu Nyerere usaili utafanyika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Kigamboni na kada za TFDA usaili utafanyika katika ofisi za TFDA-Mabibo.

2. Kila Msailiwa anakumbushwa kuja na vyeti vyake halisi(Original Certificates).

MNMA >> Click to Download

TFDA   >> Click to Download

2 Comments

 1. Anna Paul

  Habari,pole na majukumu…tunashukuru kwa kuturahisishia njia ya kuomba kazi hasa Sisi wahitimu. Naomba niulize kuhusu usaili wa vijana walioomba shirika la viwango Tanzania (TBS).hatujasikia Chochote kutoka kwenu.asante

  Reply
  1. admin

   Habari ni salama ndugu Anna Paul, Usaili kwa ajili ya Kada za TBS tangazo lenye majina ya kuitwa kwenye usaili litatolewa kabla ya tarehe 3/11/2018

   Reply

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *