TANGAZO KWA WAOMBAJI KAZI WALIOITWA KWENYE USAILI WA KADA ZA TAEC ARUSHA.

 

Waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za “Tanzania Atomic Energy Commission” (TAEC) Arusha wanaarifiwa kuwa usaili wa Mchujo utafanyika katika Chuo cha Uhasibu Arusha tarehe 4/10/2018 badala ya ofisi za TAEC kama ilivyoonyeshwa kwenye Tangazo la kuitwa kwenye usaili. Aidha usaili wa Mahojiano utafanyika tarehe 5/10/2018 Ofisi za Tanzania Atomic Energy Commission kama ilivyopangwa.

 

2 Comments

 1. MARCO

  1.WAOMBAJI KAZI TULIOFANYA USAILI TAREHE 2-3/8/2018 MBONA HAWAITWI KAZINI WAKATI WAOMBAJI WALIFANYA USAILI BAADA YA HAPO WALIISHA ITWA?
  2.PSRS INA MPANGO NGANI WA KUSONGEZA HUDUMA KWA WADAU KAMA KUWA NA OFSI ZA KANDA BADALA YA KILA ANAETAKIWA KUFANYA USAILI KUTAKIWA KWENDA DAR?
  3.LINI WAOMBAJI KAZI WANAANZA KUONA UJUMBE WA KUPATA KAZI KTK ANUANI ZAO ZA RECRUITMENT PORTAL
  AHSANTE

  Reply
  1. admin (Post author)

   Asante kwa maswali yako bwana Bw. Marco

   1.waombaji kazi waliofanya usaili tarehe ulizozitaja tayari walishaitwa kazini.
   2. PSRS inao mpango wa kufungua Ofisi za Kanda ili kusogeza huduma karibu na wananchi na kwa kuanzia tayari imeshafungua ofisi zake Zanzibar na hivi karibuni ofisi nyingine itafunguliwa kada ya kati Dodoma Makao makuu ya Nchi.
   3. Recruitment portal ni njia inayotumika kwa ajili ya kutuma maombi ya kazi kwa waombaji kazi, aidha baada ya kutuma maombi ya kazi taarifa nyingine ikiwepo Kuitwa kwenye usaili na kupangiwa kituo cha kazi zinatolewa kupitia tovuti ya http://www.ajira.go.tz

   Reply

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *