TANGAZO KWA WASAILIWA WA KADA YA LIBRARY ASSISTANT IV-UDSM

Waombaji kazi walioitwa kwenye usaili wa nafasi ya Library Assiatant IV ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ambao kwa mujibu wa ratiba ya usaili iliyotoka tarehe 15 Septemba, 2018 walipaswa kufanya usaili wa Mchujo tarehe 21/09/2018, wanajulishwa kuwa usaili wa mchujo HAUTAKUWEPO badala yake wasailiwa walioitwa kwenye kada hiyo watafanya usajili wa Mahojiano pekee tarehe 24/09/2018.