MAREKEBISHO YA TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO-KCMC

Waombaji wote wa kazi zilizotangazwa kwa niaba ya KCMC ambao tangazo lenye majina ya kuitwa kwenye usaili lilishatolewa wanataarifiwa kwamba usaili wa Mahojiano (Oral Interview) kwa kada zilizoorodheshwa hapa chini utafanyika tarehe 27 Agosti, 2018 badala ya tarehe 28 Agosti, 2018 kama inavyoonekana katika tangazo la tarehe 10 Agosti, 2018.

Kada hizo ni:-

Environmental Health Officer II;

Health Secretary II;

Health Laboratory Scientist II;

Nurse II; na

Assistant Nursing Officer.

Tarehe ya usaili wa Mchujo inabaki kama ilivyo tarehe 25/8/2018 na Kada nyingine zilizobaki ratiba yake inabaki kama ilivyo.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *