Advertised Posts

Call for Interview

Placements

Visitors Counter

»Online   22        
»Today   1009       
»Yesterday  2659       
»Week   1009        
»Month   93397       
==================
»Total 20362341        

Wajumbe wa Bodi ya zabuni wapewa semina ya mabadiliko ya Sheria ya Ununuzi wa Umma.

Posted on August 19, 2016 at 07:10 PM

Wajumbe wa Bodi ya zabuni na Menejimenti ya Sekretarieti ya Ajira wamepata mafunzo kuhusiana na mabadiliko ya sheria ya ununuzi wa Umma namba 5 ya mwaka 2016 ili kuwajengea uwezo wa kuendana na mabadiliko hayo katika ununuzi wa Umma.

Read More

Taarifa kwa Umma.

Posted on August 9, 2016 at 08:27 PM

Hivi Karibuni Serikali ilitoa taarifa kwa umma kuwa Ajira zimesitishwa kwa muda ili kupisha zoezi linaloendelea la uhakiki wa watumishi Serikalini. Aidha Sekretarieti ya Ajira pia ilitoa taarifa ya kuahirishwa kwa usaili wa nafasi za kazi kwa tangazo lililotolewa tarehe 1 Juni, 2016 hadi hapo mtakapoarifiwa tena.

Read More

MAJIBU YA MASWALI NA HOJA ZA WADAU KWA MWEZI JULAI, 2016

Posted on August 5, 2016 at 10:59 PM

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, anapenda kuwashukuru wadau na wananchi wote waliotuma maoni pamoja na kuuliza maswali mbalimbali kwa kipindi cha mwezi Julai, 2016.

Tunapenda kuwajulisha wadau wetu wote waliotuandikia maoni na maswali na hawajafungua baruapepe zao (Emails) na kurasa zao za Facebook wazifungue kwani tumejibu na kutoa ufafanuzi wa kila swali na kuwatumia katika anwani husika na baadae kuyaunganisha maswali na maoni yanayofanana ili kuyatolea majibu ya jumla kwa faida ya wasomaji wengine kama sehemu ya kuendelea kuelimishana kuhusu masuala yanayohusu Uendeshaji wa Mchakato wa Ajira Serikalini.

Read More