Advertised Posts

Call for Interview

Placements

Visitors Counter

»Online   25        
»Today   129       
»Yesterday  2474       
»Week   19437        
»Month   92610       
==================
»Total 20267063        

MAJIBU YA HOJA ZA WADAU KWA MWEZI JUNI, 2016.

Posted on July 14, 2016 at 08:11 PM

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwashukuru wadau na wananchi wote waliotuandikia maoni pamoja na kuuliza maswali mbalimbali kwa kipindi cha mwezi Juni, 2016.

Tunapenda kuwajulisha wale wote waliotuandikia maoni na maswali na hawajafungua baruapepe zao (Emails) na kurasa zao za Facebook wazifungue kwani tumejibu kila swali na kuwatumia katika anwani husika na baadae kuyaunganisha maswali na maoni yanayofanana na kuyatolea majibu ya jumla kwa faida ya wasomaji wetu wengine ili kuendelea kuelimishana kuhusu masuala yanayohusu Uendeshaji wa Mchakato wa Ajira Serikalini.

Read More

WATUMISHI WA SEKRETARIETI YA AJIRA WATAKIWA KUONGEZA UBUNIFU

Posted on June 22, 2016 at 08:50 PM

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Xavier Daudi amewataka watumishi wa Taasisi hiyo kuendelea kuwa wabunifu na wachapa kazi zaidi katika utoaji wa huduma kwa wananchi hususan waombaji kazi ambao wamekuwa wakikutana nao katika uendeshaji mchakato wa Ajira.

Read More

TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.

Posted on June 18, 2016 at 10:56 PM

Tarehe 16-23 Juni kwa kila mwaka ni Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ambapo Sekretarieti ya Ajira kama Taasisi nyingine Serikalini hukutana  na wadau mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu na ufafanuzi juu ya utekelezaji wa majukumu yao.

Read More

HOJA ZA WADAU KWA MWEZI MEI, 2016

Posted on June 16, 2016 at 10:05 PM

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwashukuru wadau na wananchi wote waliotuandikia maoni pamoja na kuuliza maswali mbalimbali kwa kipindi cha mwezi Mei, 2016. Tunapenda kuwajulisha wale wote waliotuandikia maoni na maswali na hawajafungua baruapepe zao (Emails) na kurasa zao za Facebook wazifungue kwani tumejibu kila swali na kuwatumia katika anwani husika na baadae kuyaunganisha maswali na maoni yanayofanana na kuyatolea majibu ya jumla kwa faida ya wasomaji wetu wengine ili kuendelea kuelimishana kuhusu masuala yanayohusu uendeshaji wa mchakato wa Ajira Serikalini.

Read More

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUAHIRISHWA KWA USAILI WA 08-09 JUNI 2016

Posted on June 3, 2016 at 04:34 PM

Imetolewa na X.M. DAUDI KATIBU Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma.

Read More