PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT

PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Majibu ya Maswali na Hoja za Wadau kwa mwezi Juni, Julai na Agosti, 2015
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwashukuru wadau na wananchi wote waliotuandikia maoni pamoja na kuuliza maswali mbalimbali kwa kipindi chote cha mwezi Juni, Julai na Agosti, 2015. 
Tunapenda kuwajulisha wale wote waliotuandikia maoni na maswali na hawajafungua baruapepe (Emails) na kurasa za Facebook wazifungue kwa kuwa kila swali limejibiwa na kutumwa katika anwani husika na baadae kuyaunganisha maswali na maoni yanayofanana na kuyatolea majibu ya jumla kwa faida ya wasomaji wetu wengine ili kuendelea kuelimishana kuhusu masuala ya uendeshaji wa mchakato wa ajira Serikalini. 
Read more...
 
Namna ya kufanya maombi ya kazi kupitia 'Recruitment Portal'
Friday, 31 July 2015 17:28
Tafadhali fungua 'attachment' hapa chini kupata maelekezo ya namna ya kufanya maombi ya kazi kwa kutumia 'Recruitment Portal'
Attachments:
Download this file (Online Application User Manual.pdf)Online Application User Manual.pdf[ ]2285 Kb
 


Page 2 of 2

Contact Address


Maktaba Complex, Second Floor,
Bibi Titi Mohamed Road
Dar es Salaam
P.O Box: 63100
Tel: +255(22) 2153517
Fax: +255(22) 2153518
Email:katibu@ajira.go.tz

Complaints/Malalamiko: malalamiko@ajira.go.tz
You are here  : Home